January 16, 2017

 Image result for town

Unawakumbuka Bio na Issa E? walitamba sana na wimbo wa Analalamika, Lakini hawakusimama, wakaja na wimbo wa BIBI, ulifanya poa sana nao, wakapotea kwenye game, baada ya Kimya cha muda nrefu sana, sasa wasanii hawa wamekuja na bonge ya ngoma mpya inaitwa Kimjini Mjini. Waweza itazama hapa chini

                     

Related Posts:

  • Zitto Kabwe kushtakiwa   Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini Ndugu Zitto Zuberi Kabwa atashtakiwa na kufikishwa Mahakamani kwa kosa la uchochezi. Akizungumza jijini Dar Es Salaam Kamanda wa polisi wa jiji la Dar… Read More
  • Leo katika kurasa za magazetini Karibu mpenzi msomaji katika kurasa za magazetini leo hii ijumaa 17 june 2016. Habari zilizobeba uzito ni hizi … Read More
  • Bad News: Mbunge ameuawa    Mbunge wa chama cha Leba nchini Ungereza Jo Cox ameaga dunia baada ya kupigwa risasi na kuchomwa kisu akiwa kwenye mkutano katika eneo lake la ubunge kaskazini mwa uingereza. Cox Ndiye mbunge wa kwanza kuuaw… Read More
  • Leo katika kurasa za magazeti ya Tanzania kuna habari hizi   Habari za leo mpenzi msomaji wa ubalozini.blogspot.com. Karibu katika kurasa za magazeti ni leo hii Alhamisi ya 16 june 2016. Habari kubwa zilizobeba vichwa vya habari katika magazeti ya leo  tumekuwekea hapa&n… Read More
  • Yanga kula shavu kubwa, Kampuni ya Italy yajitokeza kuidhamini KAMPUNI ya Macron S.p.A. ya vifaa vya michezo nchini Italia inataka kuingia Mkataba wa udhamini wa vifaa vya michezo na klabu ya Yanga ya Dar es Salaam. Na sasa kampuni hiyo yenye maskani yake mjini Crespellano,… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE