January 27, 2017

 

Miezi takliban sita imepita tangu mwna muziki Dayna Nyange aachie Audio ya Wimbo wake wa Komela aliomshirikisha mwana Hip Hop Bill Nass. Audio ilifanya poa sana kila kona ya nchi na hata nje ya Tanzania. Ilikuwa 20 Julai 2016 ndiyo siku Dayna aliichia Audio. Sasa leo ni 27 January 2017 Dayna huyo huyo ametuletea Video ya wimbo huo wa Komela. Enjoy mtu wetu kuitazama hapa,

                        

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE