Juhudi zilizokwishafanywa na Mhe Mbunge ameweza kuwasiliana na Mkuu wa Wilaya Ya Kilosa kwa hatua zaidi.
Lakini pia Mbunge wa jimbo La Mikumi Mhe JOSEPH LEONARD HAULE anaendelea kutoa wito na kuiomba sana serikali itusaidie kutatua migogoro hii isiyokwisha ya wakulima na wafugaji wilayani KILOSA... Imetolewa na:~ Robert A. Galamona
Katibu Ofisi Ya Mbunge
Jimbo La Mikumi..
Katibu Ofisi Ya Mbunge
Jimbo La Mikumi..
0 MAONI YAKO:
Post a Comment