January 30, 2017

Image result for bagamoyo map

Baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya BAGAMOYO mkoani PWANI limepitisha bajeti ya shilingi bilioni 41 kwa ajili ya kutekelezea miradi ya maendeleo
Baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya BAGAMOYO mkoani PWANI limepitisha bajeti ya shilingi bilioni 41 kwa ajili ya kutekelezea miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha wa  2017/2018.
Mwenyekiti wa baraza hilo, ALLY  ISSA amesema bajeti hiyo imeweka vipaumbele kwenye ukamilishaji wa miradi iliyoshindwa kukamilika katika mwaka huu wa fedha pamoja na miradi mingine mipya ambayo wananchi wameiibua katika kata zao.
ISSA amesema maeneo mengine yaliyopewa kipaumbele kwenye bajeti hiyo ni miradi ya sekta ya afya, elimu, kilimo na maji.


JOSEPH CHEWALE
30 JANUARI 2017

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE