Mshindi wa Fiesta supa Nyota 2016 mkoa wa Morogoro Medy Botion ambaye pia ni member wa Mokomoko Movemennt, ameachia Video ya wimbo wake wa Sura aliyomshirikisha mwanamuziki Hussein Makunga
Tundu Lissu aachiwa kwa Dhamana na Polisi
HATIMAYE Tundu Lissu, Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, ameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam baada ya kufutiwa mshitaka na kukamatwa tena leo asubuhi kwa tuhuma za kufanya uchochezi…Read More
Siku ya wanawake Duniani, Wema Sepetu afanya haya Morogoro
Dunia, leo inaadhimisha siku ya wanawake Duniani, Wanawake mbalimbali na jamii kwa jumla wamejikita katika mambo mbalimbali ya kijamii kwa lengo la kuiadhimisha siku hii kwa kumbukumbu muhimu.
Kwa upande wak…Read More
Waziri Mkuu ahudhulia mazishi ya mama yake Kikwete
Rais Mstaafu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohudhuria mazishi ya Bibi. Nuru Halfan Kikwete ambaye ni mama mdogo wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne mheshimiwa Dk. Jak…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment