Polisi jela kwa kumuua mwanaharakati
Polisi wawili nchini Rwanda,
wamefungwa miaka 20 jela kwa kumuua mwanaharakati wa kupinga ufisadi,
aliyekuwa anachunguza kashfa ya ulanguzi wa madini mpakani.
Gustave
Makonene, aliyekuwa anafanya kazi na sh…Read More
Wafugaji wafunga minada ya mifugo Morogoro
Wafugaji jamii
ya wamasai na wabarabaigi mkoani Morogoro wamefunga minada yote ya
kuuza mifugo mkoani Morogoro kwa muda usiojulikana wakilalamikia
serikali kushindwa kukomesha vitendo vya uon…Read More
Dahuu wa Clouds Fm, awa balozi wa Hospitali ya Amana
Mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena kinachorushw ana kituo cha matangazo cha Clouds Fm, Husna Abdul (Dahuu) amependekezwa kuwa Balozi wa Kujitolea wa Hospitali hiyo.
Uteuzi huu umekuja baada ya har…Read More
Lulu Michael amlilia msanii Marlaw
Muigizaji Lulu Michael ambae ambaye kwa sasa bado anatamba na movie yake
ya 'Foolish Age' amefunguka na kuonyesha hisia zake za ndani kwa
mwanamuziki
Marlaw ambae alishawahi kutamba na hit…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment