February 11, 2017

Image result for UJYA UNKUMBURA by Butera Knowless 

Kutoka nchini Rwanda mwana dada Butera Knowless mkali wa sauti, ametuletea wimbo wake mpya unaitwa Ujya Unkumbura? Butera ametamba na nyimbo kama, Tulia, peke yangu alizoimba kwa lugha ya kiswahili, amekupa zawadi hii maalum kwako mtu wake , shabiki wake na mdau wake.



                      

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE