Kutoka nchini Nigeria, mwanamuziki Skales, amewakutanisha wakali wa muziki tpoka nchioni humo, Kutana na Kichwa cha Davido na Timaya kwa pamoja wamesimama katika wimbo huu.
KILICHOMUUA MTOTO NASRA CHABAINIKA
Kufuatia kifo cha mtoto Nasra, almaarufu kama ‘mtoto wa boksi’, kuna
kila dalili kwamba kifo chake kimetokana na maradhi aliyoyapata wakati
akiwa anaishi kwenye boksi. Kwa kuwa imethibitika kwamba mtoto alifariki
…Read More
DIAMOND AZIDI KUNG'AA BET AWAACHA WAPINZANI MBALI SANA
‘Die hard fans’ wanaweza kufanya lolote kuhakikisha wanampa ushindi
msanii wao katika shindano lolote linalohiotaji ushiriki wao hasa wa
kupiga kura au maoni, kama kinachofanywa hivi sasa na mashabiki wa
Diamond …Read More
MWIGULU NCHEMBA KUMNG'OA MSIGWA
Naibu katibu mkuu wa CCM bara Mwigulu Nchemba akiwahutubia wananchi wa jimbo la Iringa mjini.
Wananchi wa jimbo la Iringa mjini wakimsikiliza Nchemba katika mkutano wa hadhara uliof…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment