February 20, 2017

Leo February 20 2017 Kamishna wa kanda maalumu Dar es salaam Simon Sirro amethibitisha kukamatwa kwa mwenyekiti wa chama cha cha Demokrasia na Maendeleo “CHADEMA”.
Kwa upande wake msemaji wa CHADEMA Tumaini Makene, akizungumza na millardayo.com amesema Freeman Mbowe amekamatwa wakati akiwa njiani kuelekea kituo cha polisi kwa mahojiano

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE