Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli amewataka watanzania kuwaunga mkono viongozi wanaopambana na matumizi na biashara ya madawa wa kulevya. Ametoa kauli hiyo Jumapili hii wakati wa kuapishwa kwa Kamishna mkuu wa mamlaka ya kuzuia na kupambana na dawa za kulevya, Rogers William Siyanga.
KAMATI YA BUNGE YA AFYA, UKIMWI YAIPONGEZA BARRICK BULYANHULU KUZINGATIA
KANUNI ZA AFYA
-
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imefanya ziara ya
kikazi katika mgodi wa Dhahabu wa Barrick Bulyanhulu na kupongeza jitihada
zinazo...
2 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment