March 12, 2017





Wakati Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ulipokuwa ukiendelea mkoani Dodoma, baadhi ya waliokuwa wachama na viongozi wa ngazi za juu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na ACT-Wazalendo wamepokelewa rasmi na CCM baada ya kutangaza kujiunga na chama hicho.

Viongozi hao waliojiunga na CCM leo wamesema sababu kubwa iliyopelekea na kufikia uamuzi huo ni utendaji kazi wa Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dkt John Pombe Magufuli.

Miongoni mwa wengi waliopokelewa leo ni pamoja na, Moses Machali Mbunge wa zamani wa Kasulu Mjini kwa tiketi ya NCCR- Mageuzi na baadae kuahimia ACT Wazalendo. Alitangaza kujiunga CCM Novemba mwaka jana ambapo leo amepokelewa rasmi. Dkt Yared Fubusa, Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Mkoa wa Kigoma na Mgombea Ubunge jimbo Kigoma Kaskazini (CHADEMA).

Mwingine ni aliyetangaza kujiunga na CCM na kupokelewa na Mkutano Mkuu leo ni, aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Said Arfi

Related Posts:

  • Tumekuwekea hapa Magazeti ya leo hii upitie japo kwa ufupi tu Habari ndugu yetu mpendwa. Karibu katika magazeti yetu ya leo hii Ijumaa January 15 2016 upitie japo kwa ufupi tu kile kilichopewa kipaumbele leo hii. Share na mwenzio … Read More
  • Karibu katika magazeti ya leo Habari mwanafamilia wa ubalozini.blogspot.com, karibu katika magazeti ya leo hii Alhamisi January14 2016.Tunakupa fursa ya kupitia japo vichwa vya habari vilivyo beba uzito wa habari hizo. … Read More
  • Whatsapp na viber kudhibitiwaWhatasap ina watumiaji Zaidi ya milioni kumi nchini Afrika Kusini Mitandao ya whatsapp na viber huenda ikadhibitiwa Afrika Kusini ikitegemea matokeo ya vikao vya bunge baadaye mwezi huu, umeripoti mtandao unaoheshimika wa Fin… Read More
  • Baadhi ya wanaotumia Internet Explorer hatarini Inakadiriwa kwamba watu 340 milioni wanatumia matoleo hayo Microsoft imetangaza kwamba imeacha kutoa usaidizi wa kiufundi kwa matoleo ya awali ya kisakuzi chake cha Internet Explorer na kuwaweka hatarini mamilioni ya watu wan… Read More
  • Man U ipo mbioni kumsajili huyu Leo mashabiki wa Arsenal wamefurahishwa na usajili wa mchezaji mpya na kuwaacha watani wao wa jadi wakisubiri taarifa za usajili kwenye club yao. Taarifa iliyopo sasa hivi ni kwamba Manchester United wanakaribia kumsajili mc… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE