
Taarifa zilizosambaa asubuhi ya leo ni kuhusu kukamatwa kwa mwanamuziki Nay wamitego, Taarifa zinasema Nay amekamatwa na kupelekwa polisi Mvomero, tumemtafuta kwenye simu bila mafanikio lakini mwenyewe amepost habari hiyo kwenye AC yake ya Instagram na kuthibitishi tukio hilo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment