IRINGA: Basi la AbBasi la Abood lililokuwa likitokea Iringa kwenda Dar es Salaam limeligonga kwa nyuma basi la Happy Nation lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Dar es Salaam kwenye milima ya Kitonga ambapo basi hilo liligonga lori la mizigo aina ya Fuso.
Katika tukio hilo mabasi hayo mawili yalitumbukia kwenye korongo lakini taarifa ya kifo au majeruhi bado hazijapatikana
JOH MAKER LIVE NDANI YA UBALOZINI , MSKILIZE SASA
Anafahamika kwa jina la Joh Maker, ni mwanamuziki wa Bongofleva toka mjini Morogoro, ana tuzo moja ya Super Nyota 2012 kwa mkoa wa Morogoro, na ni super nyota namab mbili kwa Tanza…Read More
SIRI ZA FREEMANSON TANZANIA ZA FICHUKA!
Tanzania ina wanachama hai zaidi ya 600
wa kundi la watu wenye imani ya siri ya Freemasons wakiwa wanatokana na
watu wa kada mbalimbali wakiwemo maarufu, huku ikielezwa kwamba miongoni
mwao hakuna viongozi wakuu wa se…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment