![](https://i.ytimg.com/vi/tZidPLoXRrU/hqdefault.jpg?custom=true&w=168&h=94&stc=true&jpg444=true&jpgq=90&sp=68&sigh=jhJhmBeFA0O9QjDteRlPCmjYn-0)
Wingu zito lililotanda katika tasnia ya Bongo fleva baada ya kutekwa kwa wasanii ROMA na wenzake, limeanza kufifia baada ya wasanii hao kupatika. Bado haijajulikana walikuwa wapi? walikuwa wanafanya nini? nani aliwateka? kwa nini walitekwa?
Mwanamuziki ROMA amezungumza haya tu kwa ufupi.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment