April 15, 2017


Anaitwa Elisha James, amekuletea wimbo wake mpya unaitwa Natembea naye. Katika wimbo huu Elisha amewashirikisha wakongwe katika hizi kazi Producer Dunga na Nurueli. Wimbo umefanywa na producer daz naledge akishirikiana na Dunga Ambrose na Cjamoker Oscar kwenye mixing na mastering chini ya usimamizi wa PROPER ENTERTAINMENT.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE