Mwana Dada Agatha Mbale kutoka mkoani Morogoro, kwa mara ya kwanza kabisa anatupa karata yake ya muziki kwa upande wa hip Hop. Anakuwa miungoni mwa wasanii wachache sana wa kike kutoka Morogoro. Hapa anatukutanisha na wimbo wake mpya na ni wa kwanza kabisa unaitwa Shujaa. Wimbo umefanywa na Producer Material katika studio sa Star Records
WATANZANIA KUNUFAIKA ZAIDI NA FURSA ZA BIDHAA NA HUDUMA MIGODINI
-
-Ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuongeza ushiriki wa Watanzania katika Sekta
ya Madini
Dar es Salaam, Julai 10, 2025
Tume ya Madini imejipanga kwa dhati ...
5 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment