Mbunge wa Arusha mjini kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Godbless Lema ameongea na waandishi wa habari na amesisitizia swala la kupotea kwa Ben Saanane, katika mazungumzo yake Lema amesema amejitolea maisha yake akiwa sambamba na Zitto Kabwe na Tundu Lissu kujua hatma ya kijana Ben saanane aliyepotea takriban mwezi wa nne zaidi mpaka sasa na hajulikani alipo.
Mtazame Lema hapa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment