England kuandaa kombe la dunia
Sepp Blatter Rais wa FIFA
England sasa inafikiria kuingia katika kinyanganyiro cha kuwa mwenyeji wa fainali za kombe la dunia mwaka 2026 baada ya kujaribu bahati hiyo ilii iandae fainali hizo mwaka 2018 lakini ilijikut…Read More
CUF waitaka tume ya Taifa kukili kushindikana kwa kura ya maoni
Naibu mkurugenzi wa habari na uenezi wa chama hicho ABDUAL KAMBAYA akizngumza na wanahabari mapema leo jijini Dar es salaam kuhusu mchakato mzima wa uandikishwaji wa daftari la kudumu la wapiga kura katika mfumo wa kielecron…Read More
Aliyebaka mtawa akamatwa
Polisi nchini India wamemtia mbaroni
mwanamume mmoja kuhusiana na ubakaji wa mtawa mmoja wa Kanisa Katoliki
katika makaazi ya watawa Magharibi mwa Bengal.
Viongozi wa Kikristo nchini India wamekosoa Serikali kwa k…Read More
Nay wa Mitego achukua maamuzi magumu kuhusu mtoto
Nay wa Mitego na Mtoto wakeNay wa Mitego Amesikitishwa na Kauli ya Mzazi mwenzake SIWEMA ambaye wamezaa naye mtoto kwa kusema kuwa mtoto huyo si wa kwake bali ni wa aliyekuwa Mpenzi wake wa zamani Obasanjo...Japo Wahen…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment