

Wakazi wa Mwanza leo hii kwa mara ya kwanza kabisa wameenda kuishuhudia team XXL katika Tour yao ya Jiwe la mwezi. Mwanza iliwaka kwa shangwe na rangi ya anga kubadilika kuonekana kuwa ya Blue ikimaanisha Clouds Media kuliteka jiji hilo la miamba. Mambo yakuwa hivi



Mfalme wa RnB Tanzania Ben Pol akitoa neno la shukrani kwa TeamXXL na wakazi wa Mwanza kwa kufanikisha ngoma yake ya Phone kusimama katika JiweLaMwez



0 MAONI YAKO:
Post a Comment