Baadhi ya wachezaji wa YangaMabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ambao juzi walifungwa bao 4-0 katika mechi ya marudiano baina ya yanga na AC Alger kuwania nafasi ya kucheza makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.
"Sisi si mara ya kwanza
kusafiri na usafiri huu pia kufuata ratiba tuwapo nje ya nchi .
Tunauzoefu mkubwa tu na hili. Mawasiliano yetu na wenyeji wetu yamekuwa
magumu kupelekea hali hii kutokea" - Alisema Boniface Mkwasa
Kwa mujibu wa taarifa ya Yanga inasema
kuwa taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao kuwa walichelewa kwa uzembe
wao si za kweli kwani wenyeji wao ndiyo walikuwa wazembe kwenye
kukamilisha baadhi ya vitu muhimu.
"Kilichowafanya kuchelewa ni uzembe wa wenyeji wao
kuwatafutia polisi wa usalama barabarani kwa ajili ya road
clearance.Taarifa hii ni tofauti na habari zinazoenezwa mitandaoni
kwamba msafara huo chini ya katibu mkuu umefanya uzembe binafsi
kuchelewa ratiba ya ndege . Wachezaji 12 pamoja na Katibu Mkuu ndio
walioachwa na ndege ya Turkish Airline" Wachezaji walioachwa na ndege ya shirika la Emirates ni kundi la kwanza . Utaratibu umekwishafanyika kwa kupatiwa usafiri kwenye ndege nyingine ya shirika hilo kwa ajili ya kuondoka kesho au keshokutwa kulingana na ratiba .
0 MAONI YAKO:
Post a Comment