
Michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika chini ya miaka 17 AFCON , imemalizika usiku huu nchini Ghabon na Timu ya taifa ya Mali wameweka rekodi baada ya kufanikiwa kutetea ubingwawao kwa kuifunga timu ya Taifa ya Ghana Goli moja kwa nunge.

Machaku


0 MAONI YAKO:
Post a Comment