SERENGETI FIESTA 2014 MOROGORO NI SHEEEDDDAAAHHH
Afande Sele baba tunda akiiwakilisha Morogoro vizuri sana
Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 linaloendelea kuzunguka mikoa mbalimbali, siku ya jana wakazi wa Mji kasoro Morogoro ilikuwa zamu yao sasa pale walipopa…Read More
ATU NDIYO MSHINDI WA SUPER NYOTA DIVA MKOANI IRINGA
Mshiriki wa Super Nyota Diva kutoka Iringa, Atu aibuka mshindi siku ya leo katika mashindano yaliyofanyika mkoani iringa
Atu ni msichana mwenye matatizo ya macho (anaona kidogo sana) lakini kipaji chake ni kikubwa…Read More
NYWELE ZA BINADAMU ZALETA TAHARUKI
-
Katikati ya mji wa Sia kulikumbwa na kisa cha kushangaza siku ya Jumamosi
wakati mteja fulani katika hoteli moja ya eneo hilo kupata nywele za
binadamu kw...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment