May 24, 2017

 

Rais wa Shirikisho la mpira wa Miguu Duniani FIFA Gianni Infantino ameipongeza Club ya soka ya Dar Young Africa Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi kuu Tanzania Bara Vodacom 2016 -2017. Kupitia kwa Rais wa Shirikisho la Kandanda Tanzania TFF Jamal Malinzi katika nukurasa wake wa Twitter ame Tweet pongezi hizo. Pongezi hizo kwa mabingwa aho wa Tanzania kwa mara yua tatu mfululizo, unawapa wakati mgumu viongozi wa Simba waliotoa taarifa kwa mashabiki wao kwa kupinga ubingwa huo. 

Malinzi Ametweet haya

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE