
Waombolezaji wakisindikiza mwili wa mwanafunzi Mussa Mhina (14) ambae ni
mkazi wa Handeni aliyefariki juzi kwenye ajali ya gari wilayani Karatu
mkoani Arusha,wananchi wengi wamejitokeza kwenye maziko hayo licha ya
kuwepo kwa mvua.Picha na Rajabu Athumani
0 MAONI YAKO:
Post a Comment