Karamanti ni mmoja ya wanamuziki wa Muziki wa Regge ninaowakubali sana, Licha ya kuwa ni mwana dada lakini ana uwezo mkubwa wa kuimba muziki huwo na ni mtu anayejiamini sana, Hapa ametuletea video ya wimbo wake mpya unaitwa Black Song
Sakata la Umeya Dar, CHADEMA wafunguka
Freeman
Mbowe, mwenyekiti mwenza wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya
Wananchi (Ukawa) amesema kuwa, umoja huo kamwe hautaomba Umeya wa Jiji
la Dar es Salaam bali watadai.
Amesema,
Jeshi la Polisi lina…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment