
Siku ya Jumamosi ya 06 Mei 2017 ni siku ya kihistoria kwa Tanzania kupatwa pigo, baada ya tukio la ajali ya basi iliyopoteza maisha ya wanafunzi 29 wa darasa ;a saba na walimu wawili pamoja na dereva. Ni sku isiyoweza kusahaulika , siku ya majinzi kwa taifa. Jumatatu ya 08 Mei 2017 Miili ya marehemu hao imesitiliwa katika makazi yao ya milele. Mwenyezi mungu awape maisha mema huko waendapo. Amin
Matukio yote ya kuaga na mpaka mazishi ya marehemu hao yapo hapa

MH: Makamu wa Rais Mama Samia akitoa Heshima za mwisho kwa marehemu


Jeshi la Wananchi wa Tanzania likishusha miili ya marehemu

Maelfu ya wananchi wakiwa katika uwanja wa Shekh Amri Abeid










Miili ya marehemu ikiwa tayari kwa kuagwa

Mmoja wa waliohudhuria ibada hiyo akifarijiwa





0 MAONI YAKO:
Post a Comment