May 07, 2017

 

Pumzikeni kwa amani wanafunzi na walimu mliopoteza Maisha yenu katika ajali huko Arusha. Pia Dereva wa basi aliyehitaji anahakikisha wanafunzi hawa na walimu wao wanafika sala katika Mtihani wa Ujirani Mwema. Nguvu ya Mungu ni kubwa kuliko kitu chochote kile ukijuacho. Walipofika njiani Gari ikapata ajali na kupinduka na kupoteza maisha ya watu 33. Nyimbo zamaombolezo zimeanza kumiminika. Huu ni wimbo maalum wa Maombolezo kwa tukio hili

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE