May 08, 2017

 

Ndugu watanzania, ukurasa huu ni maalumu kwaajili makusanyo ya rambirambi ya msiba wa wanafunzi (32), walimu (2) na dereva (1) katika ajali iliyotokea Jijini Arusha, katika msafara wa shule yetu ya Lucky Vincent ya Arusha ambapo walikuwa wakienda kufanya mtihani wa kujipima uwezo na wanafunzi wa shule ya Tumaini Junior School iliyopo Karatu.

Pesa zote zinapokelewa moja kwa moja na kuratibiwa na uongozi wa shule. Mchango huu kwa sasa utaelekezwa kwa ajili ya rambirambi kwa wafiwa wote na kuratibu shughuli nyingine za msiba.

Kwa mawasiliano zaidi:
Mr. Jackson Raphael 0756779097 (Mkuu wa Shule, Lucky Vincent)
Mr. Michael Riziki 0768965001 (Mratibu wa Rambirambi)

Kwa msaada wa namna ya kutumia mfumo huu wa uchangiaji piga 0752030032.

Related Posts:

  • Bajeti ya jeshi yaboreshwa China    China inasema kuwa bajeti yake ya ulinzi itaongezeka kwa asilimia kumi mwaka huu. Wanajeshi wake wanatarajiwa kupewa dola bilioni 145 na kuendelea na mfumo wa kuongeza bajeti ya jeshi ulioanza miaka 20 iliyo… Read More
  • Karibu hapa kuangalia Video mpya ya Fid Q inaitwa Bongo Hip Hop  Mkali wa Muziki wa Hip Hop toka Mwanza Tanzania Mkongwe Fareed Kubanda Fid Q hapa anakupa fursa ya kuitazama video ya wimbo wake uitwa Bongo Hip Hop Bofya hapa Chini kutazma hii video na kisha weka Comment yako… Read More
  • Kuhusu kauli ya Ngeleja kumtuhumu, Zitto Kabwe ataka achunguzwe   Tuhuma dhidi yangu zichunguzwe-Zitto Kabwe Katika kujitetea mbele ya Baraza la Maadili kuhusu tuhuma dhidi yake za kugawiwa mgawo wa fedha kutoka akaunti ya Escrow, mbunge wa Sengerema Bwana William Ngeleja ali… Read More
  • Tanzania kukumbwa na ukame   Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk.Agnes Kijazi (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam.  Mamlaka ya Hali ya H… Read More
  • Mwizi wa wasanii Clouds huyu hapa   Huyu kijana kushoto amekamatwa kwa kosa la kutapeli watu mbalimbali kwa kutumia majina ya wafanyakazi wa Clouds akiwemo Ruge Mutahaba na kujifanya yeye ndio kiongozi wa idara ya muziki ya Clouds fm na kuwatapeli… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE