
Wema Sepetu amesema ameumizwa na taarifa hizo huku akiwaonea huruma watoto wa marehemu ambao amewaacha wakiwa wadogo.
wemasepetuBroken hearted...💔💔💔... Rest In Peace Ivan... 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 ... SHOCKING NEWS kwakweli... My Condolences to The whole Family... Mungu awatie nguvu wale watoto jamani... 😔 They are too young... And Mungu amtie nguvu Mama watoto wako... It will be a very hard period of time for all of you But it shall pass...
Ameandika Wema Sepetu kwenye ukurasa wake wa Instagram
Marehemu ‘Ivan Semwanga’ amefariki jana usiku kwa maradhi ya Shambulio la Moyo na ameacha watoto watatu wote amezaa na mrembo Zari ambaye kwa sasa yupo kwenye mahusiano na Msanii wa Bongo Fleva Diamond Patnumz
0 MAONI YAKO:
Post a Comment