Habari za leo mpenzi msomaji wa ubalozini, Karibu katika kurasa za magazetini leo hii june 11 mwaka 2017. Tumekukusanyia baadhi ya kurasa zilizobeba uzito katika baadhi ya Magazeti ya nchini Tanzania
RIHANA ATIMULIWA UHARABUNI BAADA YA KUFANYA VITUKO
PICHA: Rihanna Ndani ya Hijabu Akiwa Abu Dhabi
Unapokuwa Rome, inakubidi uishi na kuwa kama Waroma.
Bad Gal Riri kwa
sasa yupo ndani ya Abu Dhabi, United Arab Emirate na hapa kupitia
ukurasa wake wa Instagram amew…Read More
TANZIA:KAMANDA JAMES KOMBE AFARIKI DUNIA
Aliyewahi
kuwa Kamanda wa Polisi Kikosi cha usalama barabarani, Kamishna Msaidizi
Mwandamizi (SACP) mstaafu James Kombe amefariki dunia wakati akipatiwa
matibabu katika hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.
…Read More
JUSTIN BEIBER AKUMBWA NA SKENDO YA KWENDA CLUB ZA WACHEZA UCHI
Mastaa wengi wa dunia wamewahi
kuonekana kwenye matukio ya kuwa karibu na stripper ambapo miongoni mwao
ni Ne-yo ambae hiki kitendo kiliwahi kumpa lawama nyingi na sio
pongezi, hii ni kutokana na picha waliyokua nayo…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment