Taarifa kutoka kwa mabingwa wa Ligi kuu nchini Tanzania Yanga kuhusu kipa wao Deogratuis Munishi Dida aliyekwenda katika majaribio nchini Afrika ya Kusini. Taarifa inasema amefuzu majaribio yake na Yanga kwa sasa wamempa nafasi ya kufanya mazoezi ili kujiweka sawa kabla ya safari yake. amesema katibu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa katika taarifa yake ilitotoka muda huu

0 MAONI YAKO:
Post a Comment