Mastaa wa Bongo Fleva kutoka Tanzania, Alikiba na Diamond Platnumz
wametajwa kwenye orodha ya vijana 100 waliochini ya miaka 40 wenye
ushawishi zaidi barani Africa kwa mwaka 2017.
Kwa upande mwingine wasanii waliochaguliwa kwenye orodha hiyo kutoka nje ya Tanzania ni Davido na Wizkid kutoka Nigeria , Rapa AKA kutoka Afrika Kusini na wengine wengi.
Dirisha la kupendekeza majina ya vijana wenye ushawishi zaidi barani Afrika lilifunguliwa mwezi June 25 na kufungwa agosti 22 mwaka huu.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment