Ikiwa leo ni Augost 13, kama ilivyo ada sikunkama ya leo kila mwaka, Mwanamuziki Fid Q, huwa anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa. Kumbuka kwamba Fid Q alizaliwa Augost 13 katika Hospitali ya Bugando mkoani Mwanza Tanzania.. Fid Q ambaye jina lake kamili ni Fareed Kubanda ameachia wimbo wake mpya unaitwa Ulimi Mbili hapa akiwashirikisha Maua Sama, Hard Mad na Nuruelly
August 12, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment