Tukio la mbunge wa Singida Tundu Lissu, limewagusa watu wengi wa kada mbalimbali nchini na nje ya Nchi. Wasanii mbalimbali wametunga nyimbo za maombolezo kuhusiana na tukio hili. Hapa tumekuletea wimbo wa mwanamuziki Mr. Slow anakwambia Lissu/ Watu wasiojulikana
0 MAONI YAKO:
Post a Comment