
“Kila mmoja ana hali yake acha wapambane ana hali zao lakini hutakiwi kusema fulani hatakiwi kuingia, muziki hauna mwenyewe, so karibuni mabishosti endeleeni kupambana na hali zenu tupate matonge halafu tuchovye maisha yaendelee,” Dayna amesema
Video vixen wa Bongo ambao wameingia katika muziki ni pamoja na Gigy Money na Amber Lulu kitu ambacho kiliwahi kukosolewa vikali na msanii Baby Madaha
0 MAONI YAKO:
Post a Comment