
Tamasha la Fiesta 2017 limezinduliwa rasmi jijini Arusha. Wasanii zaidi ya 20 wamefanya show usiku wa kuamkia leo mbele ya mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na Waziri Mavunde. Alli Kiba ameonekana ndiye msanii aliyeliteka jiji hilo kwa Show hii ya uzinduzi wa Fiesta 2017.
Tazama hii video hapa chini
0 MAONI YAKO:
Post a Comment