September 28, 2017

Image result for godbless lema
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amesema ataongea na Vyombo vya Habari kesho kuhusu; "Kauli mbaya na tata za Waziri Mwigulu Nchemba". Mbunge Lema amepost taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter usiku huu.

3
Nitaongea na vyombo vya habari kesho kuhusu kauli mbaya na tata za Mh Mwigulu

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE