Madee anatualika hapa kuitazama Video mpya ya wimbo wake wa Sema aliomshirilisha Nandy
Machaku
Kama na wewe unapenda sana Selfie, basi umekumbwa na tatizo hili
Wanasayansi wameonya kuwa wale ambao hupenda kujipiga selfie mara kwa mara, wana hatari ya kuwa wapweke.Wanadai inaweza kuwa ni ishara ya kuwa na matatizo kwenye mahusiano yao au tatizo la afya ya akili.
Wanaojipiga sana … Read More
Prof. Lipumba na timu yake kwisha kazi., Mahakama yawapa ushindi kina Mtatiro
Na Julius S. Mtatiro
Mahakama
kuu Ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo tarehe 10/10/2016 imetoa
ushindi kwa Chama cha Wananchi (CUF) kwa kutoa kibali cha kisheria kwa
chama kuwasilisha ndani ya siku 14, kesi … Read More
Jerry Muro Avunja Ukimya
Nimesoma hoja za wadau tangu juzi na jana, nimeona na kujifunza mengi
sana kutoka kwa waliokuwa viongozi wa yanga na wadau wa yanga kuwepo kwa
tofauti ya mitazamo ni jambo la afya katika uhai na maendeleo ya Yanga
hilo… Read More
MABASI ya Mwendo Kasi Yapiga Marufuku Walimu na Polisi Kusafiri Bure
LICHA ya kuwepo kwa changamoto mbalimbali katika utoaji huduma wa magari
yaendayo haraka jijini Dar es Salaam (DART), Kampuni inayoendesha mradi
huo, UDART imepiga marufuku usafiri wa bure kwa makundi mbalimbali
wakiwe… Read More
Brand new Audio: Linah - Kosa Sina
Mwana dada mkali wa sauti Tanzania, ukipenda mwite ndege mnana Linah Sanga , ametuletea wimbo wake huu mpya unaitwa Kosa sina. Amekupa ruhusa ya kudownload hapa
… Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment