
Mkali wa muziki wa Bongo fleva anayetamba kwa sasa toka Dingi Int. Aslay Isihaka, wikendi iliyopita aliiteka Morogoro pale alipopiga bonge ya show katika ukumbi wa Samaki Spot mkoani Morogoro. Aslay alionekana kuwateka mashabiki waliofika katika show hiyo ya Usiku wa ASlya baada ya mashabiki hao kuimba naye pamoja nyimbo zote.
Tazama video hapa chini kama ilivyoletwa na DJ Mtes
0 MAONI YAKO:
Post a Comment