Ikiwa ni mara yake ya kwanza mwanamuziki 'Beka Flavour' kupanda kwenye msimu wa Tigo Fiesta 2017 akiwa kama solo artist, na kufanya, amefanya maajabu ya maana baada ya kuuteka uwanja ndani ya Sumbawanga
ZItto Kabwe awaumbua watu uenyekiti ACT
Aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini Ndugu Zitto Kabwe amesema hatagombea nafasi ya Uenyekiti katika chama alichojiunga
nacho hivi karibuni cha ACT. Amesema hayo muda mfupi kupitia redio E FM katika kipindikatika mahojiano k…Read More
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe awasili Arusha kufungua mkutanoRais Robert Mugabe wa Zimbabwe amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa wawekezaji vijana unaohudhuriwa na wajumbe zaidi ya 400 kutoka mataifa mbalimbali duniani asilimia kubwa wakiw…Read More
Marubani wawili wa Saudi Arabia waokolewa na jeshi la Marekani
Marubani wawili wa Saudi Arabia waliokolewa na wanajeshi wa Marekani baada ya helikopta yao kupata ajali katika Bahari ya Sham
NKwa mujibu wa taarifa iliotolewa na vyombo vya habari ni kwamba, marubani wawili wa Saudi A…Read More
Alichosema Madee kuhusu kifo cha boss wake Abdul Bobge
Aliyewahi kuwa Meneja wa wasanii na mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection, Abdu Bonge amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake.
Akizungumza na EATV, mmoja wa wasanii aliye kundi la Tip Top Connec…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment