Duniani kuna mambo, Ile couple ya Amber Rose na 21 Savage ya Bongo
inayomuhusu muigizaji wa filamu Jackline Wolper na Brown dezaini kama
limekufa hivi.
Wawili hao ambao walionekana wakiwa wameshibana kimahaba sasa
kunonyesha kama kuna hali ya kutokuwa sawa hii ni kutokana na kuwa
mrembo Wolper hakuonekana na mpenzi wake huyo aliyerithi mikoba ya
Harmonize, katika private party ya Diamond Platnumz usiku wa
Jumatatu(02/10/2017) katika hotel ya Hyatt Regency.
Pia ukiitazma akaunti ya mtandao wa kijamii wa Instagram, ya Bff wa
Wolper amemu-unfollw mrembo huyo na kufuta picha zote walizowahi kupiga
pamoja ama kumpost.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment