November 14, 2017

 Muhubiri Awalisha Mende Wafuasi Wake
Muhubiri mashuhuri anayetumia nyoka nchini Afrika Kusini Penuel Mnguni amewalisha mende ndugu wawili katika mkusanyiko wa kanisa lake akidai kwamba wadudu hao walibadilika na kuwa jibini kwa mmoja wao na kiungo kwa mwengine.

Kisa hicho kinajiri takriban miezi mitano baada ya Mnguni katika ibada ilioandaliwa na Muhubiri wa Nigeria TB Joshua, na kukiri kulingana na bwana Joshua kwamba kuwalisha watu haijaandikwa katika biblia.

Kanisa la bwana Mnguni lilichapisha katika mtandao wa facebook kuhusu kisa hicho cha kula mende mapema mwezi huu akisema kuwa muhubiri huyo alimwita mende kuja katika kanisa hilo.

Baadaye aliwaita wafuasi wa kanisa hilo kujitokeza mbele na kula....ndiposa ndugu wawili walijitokeza na kula pamoja...na walipokuwa wakila bwana Charles alihisi anakula jibini huku Bwana Eric akihisi kula kiungo, chapisho hilo lilisema.

Huku akizungumza maneno haya ''uwezo wa mungu uliwagusa wote wawili, kwa kuwa walipo'' , aliongezea.

Kanisa hilo pia liliripoti katika chapisho jingine kwamba muhubiri huyo aliliombea uwa la sumu , na baadaye mfuasi mmoja alilila ua hilo pekee na kulimaliza.

Nabii huyo aliyejitangaza alizua utata nchini Afrika Kusini 2015 baada ya kushutumiwa kwa kuwalisha nyoka wafuasi wake.

Mashtaka dhidi ya Mnguni yaliowasilishwa na shirika la kuzuia ukatili dhidi ya wanyama ,yalitupiliwa mbali mnamo mwezi Julai 2015 kutokana na ukosefu wa ushahidi.

Related Posts:

  • AFTER SCHOOL BAS, KIMENUKA UPYA   Ile show kubwa kwaajili ya wanafunzi inayofanyikaga mara moja tu kwa mwaka imerudi tena jumamosi hiiya Tarehe 13 December tunakutana kwenye ufukwe wa escape one Mikocheni kuanzia saa nne kamili Asubuhi  W… Read More
  • NEW VIDEO/ HAMJUI - VANESSA MDEE Mwana muziki Vanessa Mdee Veemoney hapa anakupa ruhusa ya kuitazama video yake mpya ya Hamjui, iliyofanyika kwa viwango vya juu sana. hii ni miungoni mwa video zitakazoleta mageuzi makubwa sana ya soko la muziki wetu &nbs… Read More
  • BRAND NEW SONG// MESEN SELEKTA -PRESSURE Here is The New Song of the Hit maker of Kanyaboya from Tanzania called MESEN SELEKTA Who is also a Music Producer won 2012-2013 Best Producer of the Year. Here's his new Song called PRESSURE Produced by Himself in his… Read More
  • HABARI NJEMA KWA WADAU WA JIMM CARTER Mabadiliko Na Mwonekano Mpya Jimmcarter.com Kuingia mwaka 2015 jimmcarter.com imebadilika mwonekano wake ambao umeboreshwa zaidi kwaajili ya wewe mpenda burudani , NA MWONEKANO WAKE SASA UKO HIVI .SHARE NA RAFIKI UJUMB… Read More
  • YANGA YAIFANYIA UMAFYA SIMBA, WAMSAINISHA MRWANDA USIKU   HABARI zilizotufikia usiku wa kuamkia leo, zinasema kuwa Mshambuliaji wa timu ya Polisi Moro, Danny Mrwanda, amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia Klabu ya Yanga ya jijini Dar es salaam Imekuwa ni … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE