November 18, 2017

Video for Aslay - Hauna (Official Music Video 
Aslay kwa sasa ndiyo mwanamuziki anayeongoza kwa kuachia nyimbo zake mfululizo. Kila kukicha Aslay anathibitisha kipaji chake kilivyo cha hali ya juu. Eti wengine wanasema aliondoka na daftari la nyimbo wakati kundi la Yamoto linavunjika. Hapa ametuletea video nyingine inaitwa Hauna


0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE