23 November ya kila mwaka, inakuwa ni siku maalum kwa mwana Dada na mtangazaji maarufu mkoani Morogoro Warda Makongwa kwani ndiyo siku yake ya kuzaliwa.
Warda anayefanya kipindi cha Mcharuko wa Pwani kinachorushwa na kituo cha Radio cha Planet FM cha Morogoro, siku ya Jna katika ukumbi wa BZ Hotel, alijumuika na mamia ya wadau wake, wadhamini, wafanya kazi wenzake na watu mbalimbali katika kusherehkea siku yake hiyo Muhimu. Watu maarufu na mashuhuri toka ndnai na nje ya Morogoro waliweza kuungana na mwana Dada huyo katika kufanikisha siku hiyo Muhimu.
Wanafahamika kama Team Warda Makongwa walinogesha kinoma
Kushoto ni Mkurugenzi wa Arport Garden Dunia ya warembo akiwa na Mwenyekiti wa wasanii Morogoro Jackson Busanda
Producer Wille Mahewa na Sameer Kinyulinyuli
Watangazaji toka Abood Media Almas Adama na Abedi Kidunda
Warda akifurahi jambo
Warda Makongwa akikata Keki
Waalikwa walipendeza vyakutosha
Baadhi ya wafanyakazi wa Planet Fm
Team Warda siyo watu wa mchezo kabisa
keki ilitembezwa ukumbi mzima
Mkurugenzi wa Nyumbani Park na Samaki Sport Madam Farida Mees Matlou kulia
Seneta Farnk Nassilu Balali wa Tigo kwenye Red Carpet
Mkurugenzi wa Machaku Media Ahmad Machaku
Dodo Salimi toka Chinga Chipsi Centre akiwakilisha vema kabisa
DJ Andrew B mwenye kofia akiw na DJ Fradoh wote toka Planet FM
Anna Masatu katika pozi
Madam Farida kwenye Red Carpet
Warda alizawadiwa sanamu ya Twiga kumaanisha uzalendo wa Taifa Lake
DJ Fradoh kwenye Red Carpet
Warda alizawadiwa cheti cha Eshima kutoka Planet Media kutokana na mchango wake mkubwa sana katika kampuni hiyo
Mkurugenzi wa Nuba Spare Parts mwenye pensi akiwa na team yake
Mtu maarufu mjini Morogoro Juma Bonge akiwa kwenye pozi mbele ya Kamera ya Machaku Media
Mdhamini wa Zanzibar Stars Taara bwana Dangote naye alikuwepo
Bofya Video hapa chini
0 MAONI YAKO:
Post a Comment