Bodi ya Wakurugenzi ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) leo Desemba
imeidhinisha gawio la tsh bilioni 300 kwa Serikali iliyotokana na faida
kwa mwaka wa fedha wa 2016/17.Kiasi hicho cha fedha kinafanya gawio la miaka mitatu kuongezeka hadi
kufikia bilioni 78o kuanzia kuanzia mwaka 2014/15 hadi 2016/17.
BoT mwaka jana 2015/16 ilitoa gawio la Tsh bilioni 300 ikiwa ni ongezeko la bilioni 12o kutoka mwaka juzi 2014/15 ambapo ilitoa gawio la bilioni 180.
Kwa mujibu wa Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006, kifungu cha 18(5) kinaipa mamlaka Benki Kuu kutoa gawio kwa Serikali pale inapotengeneza faida.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment