Msanii kutoka mji kasoro bahari, ambaye anaitwa Nexus ameachia ngoma yake mpya inayoitwa Weka ni Weke , ngoma imefanyika ndani ya Free Nation chini ya produza Awesone kwa upande wa audio na Video yake imesimamiwa Deo Abelli.
Weka ni weke ni ngoma ya michano amabayo inafanya vizuri toka imeachiwa Huu ni ujio wa wake mpya baada ya ngoma yake ya kwanza inayoitwa Kimewaka.
Nexus anadai kuwa anaamini mziki wake utafika mbali kutokana kwamba amejipanga kufanya hit juu ya hit .
Unaweza kumtafuta kwenye Fb – Nexustz na instagram Nexustz pia unaweza ukascribe ngoma hiyo Youtube video na Audio,
0 MAONI YAKO:
Post a Comment