Munge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu aliyepo nchini Kenya kwa ajaili ya matibabu, amemjibu vikali spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai kufuatia kauli yake ya kutokwenda kumjulia hali. Tundu lissu ameyazungumza hayo kutoka nchini Kenya
Kauli ya Job Ndugai:
0 MAONI YAKO:
Post a Comment