December 24, 2017

Image may contain: 2 people, people smiling, people standing and outdoor 
Eddo akiwa na Afande baada ya kumkabidhi Fulana hiyo
 
Mchambuzi wa michezo wa kimataifa kutoka Tanzanai Eddo Kumwembe, amemvisha rasmi Mfalme wa Rhymes Tanzania Afande Sele kuwa yeye ndiye Simba halali. Eddo ememvisha jina hilo Afande kwa kumkabidhi zawadi ya Fulana yenye picha ya mnyama huyo. Eddo amekuja na Fulana hiyo mkoani Morogoro na kumvisha Sele ikimaanisha ni kumpa heshima ya jina hilo linalogombewa na wasanii wengi. Miungoni mwa wasanii wanaojiita jina hilo ni pamoja na Mwanamuziki Diamond na Mr. Blue.

   ''Jana pia ndio ile siku ndg yangu wa faida edo kumwembe alifika moro kunikabidhi zawadi ya tshet halisi ya mnyama simba aliyoinunua jijini johanesburg kwa madiba...thanks&respect edo'wakuchele''

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE