
Mrembo na Star anayekimbiza sana kwa sasa nchini Tanzania Wema Sepetu, amerejea CCM. Kupitia ukurasa wake Instagram , Wema Sepetu amepost picha aliyovaa flna ya CCM na kuandika ujumbe akimaanidha kurudi rasmi CCM
wemasepetu Siwezi
Kuendelea kuishi kwenye Nyumba inayo nikosesha amani... Peace of mind
is everything for me... Natangaza Rasmi kuondoka Chadema na Kurudi
Nyumbani.... #ThereIsNoPlaceLikeHome... Feels good to be Back...
Amemaliza kwa kuandika hivyo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment