December 28, 2017

Image may contain: 3 people, crowd  

Tume ya Uchaguzi nchini Liberia imemtangaza mwanasoka wa zamani, George Weah kuwa mshindi wa duru ya pili ya uchaguzi wa Rais nchini humo. Amepata ushindi wa asilimia 61.5.

Taarifa zaidi tutawaletea Punde


0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE